Kwa mujibu wa ofisi ya OCHA, zaidi ya watu nusu milioni wamerejea kaskazini mwa Gaza tangu kusitishwa kwa mapigano. Mahitaji ya chakula, maji, huduma za usafi, huduma za afya na mahema ni makubwa sana ...
Wafanyakazi wa shirika hilo waliotembelea masoko matatu ya Virunga, Lenine na Kituku mjini Goma, wameripoti kupanda kwa bei ya baadhi ya bidhaa za chakula, ikiwemo unga, maharage, na mafuta, kwa ...
kutoka kwa rangi za chakula ingawa, kama ilivyo kwa microplastics, ushahidi bado unabaki mdogo. Kwa sababu utumbo mpana umeunganishwa na tumbo na njia ya utumbo mpana na vile vile mfumo wa kinga ...
“Unywaji maji kwa wingi hasa asubuhi ni tiba kwa namna nyingi mojawapo kuna namna inaboresha mmeng’enyo wa chakula. Si asubuhi pekee tunashauri kila dakika 30 unywe ... kinywa chenye madini hayo ...
Sheria za kimataifa zinatambua haki ya kila mtu kupata chakula cha kutosha na haki ya kuwa huru kutokana na njaa. Haki hii ni ya msingi kwa utekelezaji wa haki zote za binadamu. 16/10/2024 ...
Hawakuishia kwenye nyimbo tu, wapo waliofikia hatua ya kushikana mashati wakati wa kutambiana wakiwa kwenye maeneo ya biashara za chakula na starehe ya karibu na Ukumbi wa Mlimani City ulikokuwa ...