BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kaskazini limesema limefanisha miradi yote mikubwa kama barabara, viwanda na migodi kuwa na cheti cha Tathmini ya Athari kwa ...
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Serengeti wamemvua Uongozi Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi kwa kile kinachoelezwa kuwa ni utovu ...
Mchango wa UNEP umeiwezesha Kenya kuiongeza idadi ya magari ya umeme ndani ya mipaka yake na kufikia 3,200 zinaonyesha takwimu za mwaka 2023. Hilo limeiweka Kenya mstari wa mbele kwenye kanda nzima ...
Daniel Chapo, 47, anakabiliwa na kibarua kikubwa ya kuliunganisha taifa. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Mkataba wa kusitisha mapigano utatekelezwa kwa awamu kadhaa kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa ...
DAR ES SALAAM; DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amesema ni vyema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ...
Tanzania itakuwa inashiriki kwa mara ya tatu na Madagascar yenyewe inacheza mashindano hayo kwa mara ya pili. Morocco yabeba jahazi Afrika Kaskazini Kanda ya soka ya Kaskazini mwa Afrika (Unaf) ...
Haji Mnoga wa Salford City ya Uingereza kupokea kichapo cha mabao 8-0 dhidi ya Manchester City, nyota huyo alianza na kukipiga kwa dakika 58. Salford juzi ilikuwa kwenye Uwanja wa Etihad jijini ...
WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club Zurich ya Uswisi. Irankunda ni mzaliwa wa Tanzania mkoani Kigoma ambako ...
Shirika hilo limenukuu ripoti zinazoeleza kwamba zaidi ya watu 170 wamepangwa kunyongwa nchini humo. Mkurugenzi wa Amnesty International kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Sarah Jackson amezitaja ...
Mwanza. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema wapambe wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na wa makamu wake (Bara,) Tundu Lissu ndiyo chanzo cha mtifuano ndani ya chama ...