资讯

Kampuni ya huduma za mtandaoni za kutafuta na kuwasilisha chakula nchini India -Zomato imesifiwa kwenye mitandao ya kijamii kwa jibu ililotoa kwa mteja wake wa dini ya Hindu ambae alikataa kupokea ...
Tume ya haki za binadamu nchini zimbabwe imesema kuwa watu wanaounga mkono upinzani, walio kwenye maeneo yenye ukame wamenyimwa misaada ya chakula na chama tawala cha ZANU-PF. Mwenyekiti wa bodi ...
Tukislia na siku ya wakimbizi duniani tunaelekea eneo la Mata, karibu na mpaka wa Ethiopia na Sudan Kusini, ambakomaelfu ya wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanapokea msaada wa dharura kupitia juhudi za ...
SONGWE: KUTOKANA na Wilaya ya Momba iliyopo mkoani Songwe kuwa na kiwango kikubwa cha udumavu ambacho ni asilimia 31.9 licha ya kuzalisha kwa wingi mazao ya chakula, kumelisukuma shirika lisilo la ...
Katika eneo la Mata, karibu na mpaka wa Ethiopia na Sudan Kusini, maelfu ya wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanapokea msaada wa dharura kupitia juhudi za Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula ...
MWISHO wa mwezi uliopita, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametua nchini Marekani kwa ziara inayohusu usalama wa chakula na akakutana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Millenium Challenge Corporation ...
Wazazi na walezi wa Wilaya ya Magu wameaswa kushiriki kikamilifu katika kuinua taaluma kwa kutoa michango mbalimbali, ikiwemo chakula kwa wanafunzi shuleni. Hatua hiyo inatajwa kuwa muhimu katika ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Mbunge ...
Kuhusu mradi huo, alisema utakuwa mkombozi mkubwa kwa wananchi wa Simiyu kwa sababu utasaidia katika uzalishaji wa chakula kupitia kilimo, upatikanaji wa maji pamoja na usafi wa mazingira. Aliweka ...
Mashahidi wa tukio halio wanasema kuwa jeshi la Israeli wamefanya mashambulizi kwa vifaru na ndege zisizo na rubani kwa raia waliokuja kuchukua chakula. Tukio hilo limekuwa, kwa mara nyingine tena ...
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua ambayo imepongezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Bodi ya ...
Kulingana na ripoti ya kimtaifa ya 2025 kuhusu migogoro ya Chakula, zaidi ya watu milioni 295.3 katika nchi 53 wanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa usalama wa chakula. 26/05/2025 09:39 ...