Mkurugenzi Mkuu wa NFRA, Dk Andrew Komba amesema wameongeza uwezo wa kuhifadhi chakula cha akiba na kuuza takribani tani 600,000 za mazao katika masoko ya kimataifa. Dk Komba aliwaeleza waandishi wa ...
Je ni sawa kwa afya yako? "Chakula cha jioni cha TV," unaweza kusema hivyo kwa maana ya kuhusisha kula wakati wa kutazama TV, kwa ujumla hiyo ni mbaya. Kula ukitazama TV lilianzia Marekani ...
WFP imesema kufungwa kwa mipaka kumeongeza changamoto kwa waokaji na wapishi wa chakula cha misaada, na kusababisha hofu kuhusu uwezo wa kuendelea kulisha watu walio hatarini zaidi. Kutegemea akiba ya ...
Shule hiyo ilishika nafasi ya kwanza kiwilaya katika matokeo ya Kidato cha Nne mwaka 2024 kwa kuwafaulisha wanafunzi wote 197. Akizungumza katika hafla hiyo, John alisema baadhi ya wazazi hawajitokezi ...
Karibu 70% ya mashudu ya shayiri yanayotokana na biogas kwa sasa hutumika kama chakula cha mifugo, wakati 10% hutumika kutengeneza bayogesi huku karibu asilimia tano hutumwa moja kwa moja kwenye ...
TANGA: Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila ya Muheza, Ester George Barua, ambaye alimruhusu akalie kiti chake cha Rais kwenye mkutano wa ...
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake ...
"Tumekuja kuona mkopo tuliopewa na Poland ili tukianza kulipa tujue kama thamani yake inaonekana. Kamati imefurahishwa sana na namna vihenge vilivyojengwa, kwani vinaongeza uwezo wa kuhifadhi chakula ...
Nje ya uwanja kuna mengi unayoweza kuzungumzia kuhusu maisha binafsi ya Jordan, mojawapo ni kubadili mapishi nyumbani kwake ...