Mwimbaji wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, 45, mwaka huu unaadhimisha miaka 25 tangu ametoka kimuziki na sasa anaheshimika na wengi kama msanii aliyeweza kuwa katika kilele cha mafanikio ya kazi ...
STORI zilizoagaa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ni kuachana kwa msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu ...
NI wazi wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kujikusanyia wafuasi wengi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ... ya mitindo vimempatia wafuasi milioni 11.9 Instagram akiwa ni mwanamke wa pili Afrika ...
rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameamua kuanzisha mgomo mpya wa kula ili kupinga kuendelea kuzuiliwa licha ya hali zao za kiafya, ambao hawapati huduma inayohitajika. Kutokana na ukimya ...
Inadaiwa anatuhumiwa kushirikishana taarifa za benki hiyo na wala njama raia wa China ambao walifanya kazi na idara ya intelijensia na usalama ya China huku wakijifanya kuwa ni wanafunzi wahitimu.
Ngom na ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma ya shirika la mahakama ya kifedha (PJF), chombo kilichoundwa na mamlaka za zamani. Upande wa mashtaka umedai kupokea taarifa kutoka kwa Kitengo cha ...
Doto Biteko. NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema wizara hiyo kwa sasa inafanya maboresho makubwa katika njia zote za umeme za zamani, ikiamini ndiyo mwarobaini wa kumaliza ...
Watu wasiopungua 20 wameuawa nchini Sudan Kusini baada ya ndege kuanguka muda mfupi baada ya kupaa. Msemaji wa Mamlaka ya anga ya Sudan Kusini, amesema watu 21, wakiwemo raia wa Sudan Kusini na ...
koloni lake la zamani, kwa mujibu wa taarifa za shirika la Habari la AFP. Mwezi Novemba, Chad ilitangaza kusitisha mkataba muhimu wa ushirikiano wa ulinzi na Ufaransa, na baada ya hapo ...
Wanajeshi wa Korea kaskazini wanaripotiwa kuwa hawana mafunzo ya kutosha na wanapigana kwa mbinu za zamani, wakiwa hatarini kushambuliwa na ndege zisizo rubani zinazotumiwa na Ukraine.
Hiyo itasaidia kuzalisha wataalamu wazuri watakaolisaidia taifa," alishauri Mahenya. Pia alisisitiza kuwa katika rasimu ya Dira ya Maendeleo 2050, kuwe na kifungu maalumu kinachoonesha mabadiliko ya ...