资讯

UONGOZI wa maafande wa Mashujaa uko katika harakati za kukisuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao, ambapo tayari mabosi wa timu ...
UFANYAJI mazoezi mepesi ya kukimbia katika barabara za huduma au pembezoni ni maeneo ambayo watu hupenda kuyatumia kufanya ...
SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limeipiga faini ya Sh3 milioni, KVZ baada ya kubainika mashabiki wake kufanya vurugu ...
MANCHESTER United inafanya majadiliano ya ndani kuhusu ofa ambayo inaweza kuiandaa kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa ...
STAA wa zamani wa Liverpool, Mjerumani Dietmar Hamann amesema italeta maana kama miamba hiyo ya Anfield itaachana na Darwin ...
MWENDO wa weka niweke ulikuwa katika mechi za raundi ya 29 za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Jumatano hii ambapo kulikuwa na vita ...
KATIKA nchi nyingi za Afrika, wanamichezo waliozijengea heshima nchi zao husahaulika na kuwa kama hawapo mara tu wanapostaafu ...
KIPA wa JKT Tanzania, Yakubu Suleiman amesema tangu msimu uanze mechi iliyosalia katika kumbukumbu zake ni dhidi ya Simba, ...
MREMBO mwenye ushawishi mkubwa mitandaoni, Fati Vazquez amefichua kutumiwa meseji za vitisho baada ya kuibuka uvumi kuwa ...
USHINDI wa bao 1-0 ilioupata Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Ulsan HD ya Korea Kusini katika michuano ya Kombe la ...
KWA nini unashangaa sasa kuona kuna mchezo wa ngumi? Kwa nini watu wapigane wakati hawajakosana? Inakuwaje ngumi zinapigwa na ...
MAMBO yanaendelea kuwa mambo katika viunga vya Jangwani wakati huu ambapo Yanga imeshaanza kufanya biashara ikifanikiwa kumuuza aliyekuwa kiungo wake, Stepahie Aziz KI kwenda Wydad Casablanca ...