UZINDUZI wa uwanja wa Singida BS ni tukio la kihistoria katika soka la Tanzania. Uwekezaji huu unaashiria maendeleo katika ...
Uwanja huo uliopo Mtipa mkoani Singida, umejengwa kwa viwango vya kisasa ukiwa na nyasi bandia kwa kushirikiana na wadhamini mbalimbali ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 7,000.
Refa huyo mwenye cheo cha mkaguzi msaidizi wa Polisi kutoka Dodoma amechezesha mechi sita za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ...
YANGA inacheza na Songea United Jumamosi hii saa 10 jioni kwenye mechi ya FA. Lakini Kocha Hamdi Miloud kuna kitu amekiona ...
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki, anaongoza kwa kufunga mabao mengi kwa kutumia mguu wa kushoto mpaka sasa ...
WAKATI Simba ikiandaa kaulimbiu mpya kuelekea katika michezo yake miwili ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, iliyopewa jina la 'Hii Tunavuka', ili kutoa hamasa kwa wanachama na mashabiki, w ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果