Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amepiga marufuku mtu yeyote kuimba wimbo wa taifa bila uwepo wake, amesema waziri wa habari Michael Makuei ambaye pia ni msemaji wa serikali. Bw. Makuei ameliambia ...
Bunge la China linatafakari juu ya rasimu ya sheria ambayo itarasimisha kuwa ni kosa la jinai linalostahili hukumu ama kifungo juu ya tabia ya kudharau wimbo wa kitaifa wa nchi hiyo. Kosa kubwa ...