Watu 112,952 wameitwa kwenye usaili wa mchujo wa kuandika (Written Interview), baada ya kukidhi vigezo vya maombi ya ajira ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili wa nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kati ya maombi ya kazi 135,027 yaliyopokelewa, waombaji 112,952 wamekidhi vigezo na ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mara, kwa kushirikiana na kikosi kazi cha kupambana na magendo, imelikamata lori aina ...
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda, amesema Machi 12, 2025, jijini Dodoma kuwa mamlaka hiyo imefanikiwa kuvuka malengo ya ...
Rais wa Tanzania ametangaza kwamba ameamua kumfuta kazi mwenyekiti wa Mamlaka ya Mapato nchini humo (TRA) na kuvunja bodi nzima baada ya uamuzi wao wa kuwekeza karibu dola milioni 13 katika ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 78 katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Maelezo ya video, Tanzania: Agizo la wapangaji kupeleka 10% ya pango TRA imepokelewaje? Watanzania wamepokeaje agizo la kupeleka 10% ya kodi ya upangaji TRA ? 29 Agosti 2022 Baadhi ya wananchi ...