Je umewahi kusikia ramani ya bara la Afrika iliyochorwa katika hali isiyo ya kawaida juu ya jiwe? Huko mkoani Njombe, Kusini magharibi mwa Tanzania, watu wamekuwa wakimiminika kwenda kujionea ...