Msanii maarufu wa Tanzania Diamond Platinumz ametoa EP yake ijulikanayo kama FOA. Msanii huyu ambaye ameshinda tuzo nyingi duniani anasema EP hii ni kionjo tu cha Album kubwa itakayokuja baadaye.
Wimbo mpya wa nyota wa muziki wa bongo Diamond Platinumz kwa jina 'Iyena' unaomshirikisha mfanyibiashara wa Uganda na mama wa watoto wake wawili Zari Hassan umezua hisia kali. Wimbo huo ambao ni ...