Swahili Kwenye simu Wanjeshi wa Kenya wakipambana na Al Shabaab Wenyeji mjini Kismayo Somalia, wameambia BBC kuwa wapiganaji wa Al-Shabab wameanza kuondoka katika ngome yao ya mwisho ya Kismayo.