Sifa na rambirambi zinaendelea kumiminika kwa familia ya mwanamuziki,muimbaji na mtungaji mashuhuri wa muziki wa rumba Tabu Ley Rochereau aliyefariki dunia Jumaamosi akiwa na umri wa miaka 76 ...