MABAO mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma ...
Nyota Kylian Mbappe na Jude Bellingham hawakuwa na ushawishi mkubwa au athari nzuri kwenye mchezo huo, huku mkwaju wa penalti wa Mbappe ukiwa ni donda wanalotaka kusahau kwa haraka. Kiungo wa kati ...
Wakamuziki kama vile Davido, Wizkid na Burna Boy kwa sasa wanatambulika kama nyota wakuu wa muziki kote duniani, na nia ya dunia katika muziki wa Kiafrika haijawahi kuwa ya kiwango cha juu kama ...
UKIZIWEKA kando Simba na Yanga zilizocheza mechi 22 kila moja, timu zingine zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu zimeshuka ...
VIJANA wakubwa barani Ulaya walirejea katika michuano ya bara wiki iliyopita huku mechi zote nane za hatua ya 16-bora ya Ligi ...