Hii leo, nchini Tanzania kunafanyika maadhimisho ya kuenzi miaka 100 ya aliyekuwa baba wa taifa hilo mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kilele cha maadhimisho hayo kinafanyika kijijini kwake ...
Rais mstaafu wa awamu ya nne nchini Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametoa ufafanua kuhusu hotuba yake aliyoitoa Oktoba 8, 2019 katika kongamano la miaka 20 ya kifo cha mwalimu Julius Nyerere.