Nchini Mali, ushuru mpya wa huduma za simu ulianza kutumika mnamo Machi 5. Serikali sasa inakata 10% ya gharama ya kila ...
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu - utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya maambukizi.
BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda ...
Msanii katika mji wa Echizen mkoani Fukui anatumia penseli fupi zenye rangi na taka za mbao kutengeneza kazi mpya.
Donald Trump amesema anafikiria kuweka vikwazo na ushuru mpya dhidi ya Urusi, kufuatia mashambulizi makali ya usiku dhidi ya ...
HII ni kufuru. Manchester United itajenga uwanja mpya wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 100,000 wanaoketi, imeelezwa.
Ni sura mpya katika nafasi za ukurugenzi ndani ya Chadema, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kamati Kuu ya chama hicho iliyojifungia kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kufanya uteuzi.
DODOMA: WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Vikosi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia mbinu ...
Ni zama mpya kwa chama cha TLP baada kuingia madarakani kwa mwenyekiti mpya, Richard Lyimo, mwenye maono, fikra, ndoto na ...
China imeapa siku ya Ijumaa kuchukua "hatua zote muhimu" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa ataweka ushuru wa ...
HITAJI la uwepo wa katiba mpya ni moja ya hoja ambazo zinajadiliwa mara kwa mara na wadau mbalimbali wakiwamo wa siasa ambao ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru ameahidi kupata fedha za kutosha kwa ajili ya mipango ya kuwezesha wakazi kurejea katika ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果