Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Kupitia gazeti rasmi la serikali, rais wa Kenya, William Ruto, ameteua jopo ambalo litaendesha shughuli nzima ya kuwateua ...
Wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC na wale wa Afrika Mashariki, Ijumaa na Jumamosi ya wiki ...
Chama cha Madaktari nchini Tanzania kimepinga mpango wa kuwatuma madaktari 500 nchini Kenya wakisema Tanzania ina upungufu mkubwa wa madaktari. Hii inafuatia makubaliano kati ya serikali ya ...
Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya ...
Serikali ya Kenya inatarajia kumaliza ukarabati wa Uwanja wa Moi Kasarani mwezi Aprili. Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua ...
Mbunge wa Mlalo(CCM), Rashid Shangazi ameitaka Serikali kueleza fursa zitakazopatikana kwa Watanzania mmoja mmoja na vikundi ...
KENYA : IMEELEZWA kuwa karibu wanawake 200 waliuawa nchini Kenya mwaka jana, katika matukio ya ukatili wa kijinsia.