"Kuna mtu wa kwetu aliuawa hapa akavunjwa shingo…tuliwauliza watu wakakataa hivyo tukaenda kuvunja chungu.Ni mwaka juzi hayo yalitokea . Baada ya ukoo huo kupoteza watu 17 ndani ya mwaka mmoja ...
Usishangae kula asali ambayo ladha yake inaweza kuwa chungu kama shubiri. Unaweza kuuliza je hii inasababishwa na nini? Sio mabadiliko ya nchi bali ni ubunifu na jitihada za binadamu katika ...