Mohammed ni mmoja wa maelfu ya watoto ambao wamekuwa watafutaji wa chakula kwa familia zao. "Wakati foleni imejaa na kuna karibu watu 100 mbele yangu, mimi hupita kati kati ya watu," anasema ...
Maelezo ya picha, Vyakula vya wanga ni muhimu kwa sababu ni chanzo muhimu cha nishati ya mwili na hutoa nyuzi nzuri kwa usagaji chakula. Watoto wanahitaji wanga katika kila mlo - mkate ...
Silengi kumfanya mzazi ajisikie hatia bali aone umuhimu wa kumlinda mtoto na kile kinachoendelea kwenye maisha yake.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Shaban Rajab, amepongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe kutenga fedha kupitia mapato yake ya ndani ...
SHIRIKA la Agrithaman kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) linalojihusisha ...
Hapa, chakula cha wanafunzi nusu milioni kinaandaliwa kwa ufanisi mkubwa, kikitumia nishati safi na rafiki kwa mazingira. Je, teknolojia hii inabadilisha vipi maisha ya watoto wa shule za umma?
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果